Vinyago

20,000 TZS 2 (Kg)

Availability: In Stock

Category: HOUSE DESIGN

Views: 1738

Kituo hiki kinajulikana zaidi kwa Kiingereza Mwenge Carving Centre (MCC). Kipo kando kando ya Barabara ya Mwenge-Ubungo. Kuna vinyago vya kila aina. Ni kivutio cha utalii cha aina yake. Vinyago vinavyopatikana kwa wingi zaidi hapa ni vya wanyama, ujamaa na mashetani. Katika sanaa ya uchongaji, ujamaa ni vinyago vyenye mkusanyiko au mrundikano wa watu wengi..

QTY:

Write Your Review

Your email address will not be published.

Your Rating: